header

nmb

nmb

Saturday, May 1, 2010

MVUA YAVURUGA MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI MNAZI MMOJA DSM!!
Bi.Gladness Emanuel akionyesha moja ya bidhaa zinazotengenezwa na shanga na vinyago wakati wa maonyesho hayo yanayoendelea katika viwanja hivyo. Bi. Gladness pia anaendesha biashara zake katika Kijiji cha Makumbusho duka lake linalofahamika kama GLADNESS FASHION, mtembelee

Mwonyeshaji kutoka nchini Kenya akiwa ameketi kitini i akitazama watazamaji wa maonyesho hayo bila ya mafanikio.

No comments:

Post a Comment