header

nmb

nmb

Wednesday, April 28, 2010

MABONDIA WA ASHANTI WAENDELEA NA MAZOEZI!!

Mchezaji mkongwe wa wa Ngumi nchini Iraki Hudu (kushoto) akiwaelekeza mabondia wa Klabu ya Ashanti ya Ilala Dar es salaa wakati wa mazoezi ya kujiandaa na mapambano ya kirafiki yatakayofanyika siku ya APRI 30 katika ukumbi wa Max Baa Ilala Bungoni.Kulia ni Katibu wa Ashanti FC, Haji Bechina(Picha na Rajabu Super "D")

No comments:

Post a Comment