header

nmb

nmb

Wednesday, April 28, 2010

UKITAFUTA PICHA NZURI NI HELI KUTAFUNWA NA MAMBA KULIKO KUIKOSA...!!

Nimeingia majini kusaka picha
Nakusaka katika jicho la Kamera
Hapo nitizame

Nipozi hivi nikuchukuwe vizuri

Mwandishi wa habari Mpiga picha,Davd Anderson wa gazeti la World Ack linalomilikiwa na Shirika la Heifer International kutoka nchini Marekani akiwa katika mitindo tofauti ya kupiga picha katika ziara ya kutembelea miradi ya ufugaji wa samaki katika Kijiji cha Mambi,Wilaya ya Mbarali,mkoani Mbeya na wakulima wakufunzi katika Wilaya ya njombe,mkoani Iringa inayofadhiliwa na kusimamiwa na Heifer International kanda ya kusini Magharibi (PICHA ZOTE NA THOMPSON MPANJI)

No comments:

Post a Comment