header

nmb

nmb

Saturday, April 24, 2010

BINTI KUTOKA ARUSHA ASHINDA MISS UNIVERSE

Miss Universe 2010/11 Bi. Hellen kutoka mkoani Arusha akipungia mikono mashabiki baada ya kupewa taji hilo katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo

No comments:

Post a Comment