header

nmb

nmb

Saturday, April 24, 2010

PINDA AZINDUA MKATABA WA HUDUMA

Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda akionyesha Mkataba wa Huduma kwa Mteja baada ya kufungua kongamano la Maktibu Muhtasi Dodoma leo. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bi. Celina Kombani.

No comments:

Post a Comment