header

nmb

nmb

Saturday, April 24, 2010

J.K AENDA MUHIMBILI KUMFARIJI MBUNGE KIMARO

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mbunge Kimaro leo alipomtembelea kumfariji hospitali ya Taifa Muhimbili leo. Mbunge Kimaro alipatwa na mshtuko wa ghafla.

No comments:

Post a Comment