header

nmb

nmb

Tuesday, March 2, 2010

Jerry Muro mahakamani tena kwa utapeli..!


MWANDISHI wa Habari aliyejipatia umaarufu kupitia kipindi chake cha Usiku wa Habari kinachorushwa na TBC 1, Jerry Muro ameingia matatani tena baada ya kampuni ya Boneste General Enterprise Ltd kumfikisha mahakamani kwa madai ya sh. milioni 15.



Kesi hiyo ya madai ipo mbele ya Hakimu Sundi Fimbo wa Mahakama ya hakimu Mkazi Kinondoni ambapo kampuni hiyo inadai kuwa ilimkopesha zaidi ya sh 1, 500, 000 kwa ajili ya kugomboa gari lake bandarini.
Hakimu aliahirisha kesi hiyo baada ya kupokea hadi Aprili 14 mwaka huu.
pichani Jerry akitoka mahakamani ktk shtaka lililopita, (picha na maktaba ya PR Habari).

Awali ktk mahakama ya Kisutu Jerry Murro alishtakiwa kwa kosa la kuomba rushwa

No comments:

Post a Comment