header

nmb

nmb

Tuesday, March 2, 2010

ZANAKI SEC WAFANYA STUDY TOUR BUSINESS TIMES.PIX KWA HISANI YA DAR LEO AMBALO KWA SASA HALINA MPINZANI

Bi. Subi wa Kitengo cha Pre press

Bi.Rehema akitoa maelekezo ya utayarishaji wa magazeti

Bw. Chris Hall mkuu wa Kitengo cha IT akifafanua jambo kwa wanafunzi Bi 42nata wa kitengo cha IT

Mhariri wa michezo wa gazeti la Majira Papa Sele akitoa maelekezo kwa wanafunzi wa Shule ya Zanaki Sec walipofanya Ziara ya kishule leo. Wanafunzi hao ni Clara Ndendeje,Diana Kulangwa,Fathia Kemboy,Jeneth Edward,Judith Mbayuayu, Sekela Yona na Rose Sylivanus.



Mtaalam wa habari za Kimataifa katika Magazeti ya Dar leo na Majira WilliBrod Matiasi akiwaelekeza jinsi ya kupata mtandao wa kimataifa

Mnyalukolo

Winne ambaye ni msanifu wa kurasa akitoa somo kwa madenti hao

No comments:

Post a Comment