header

nmb

nmb

Tuesday, March 2, 2010

Precision yqfanyakweli yazindua ndege nyingine



PICHA KUSHOTO
Naibu Waziri wa Miundombinu Ezekia Chibulunje (katikati) akikata utepe katika uzindunzi wa ndege mpya ya Precision no ATR 42-500 leo jijiniDar es salaam. (kutoka kulia) Mkurugenzi wa Bodi ya Precision, Meja Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya, Mwenyekiti wa Bodi, Michael Shirima, Balozi wa Ufaransa hapa nchini, Jacques Champagne na Mkurugenzi Mtendaji wa Presicion Air, Alfonse Kioko.(Picha zote na Mwanakombo Jumaa-Maelezo).
PICHA KULIA

Naibu Waziri wa Miundombinu, Ezekiah Chibulunje (kulia ) akisalimiana na Rubani wa ndege mpya ya Precision no ATR 42- 500 Captain Martin Francis leo jijini Dar es es salaam katika uzinduzi huo ambapo ndege hiyo ilifanya safari fupi ya Zanzibar na kurudi Dar. Pichani wengine ni Balozi wa Ufaransa hapa nchini, Jacques Champagne na Mkurugenzi Mtendaji wa Presicion Alfonse Kioko.

No comments:

Post a Comment