header

nmb

nmb

Monday, February 8, 2010

Uzembe wa Madereva wa daladala waendelea kuwaacha watu vilema...!

Ajali ya Treni na Daladala iliyotokea Yombo leo mchana imewaacha watu ulemavu wa maisha baada ya kujeruhi zaidi ya watu 20 na mmoja kupoteza maisha.
Ajali hii imetokea baada ya mwezi mmoja ambapo January mosi daladala 2 ziligonga treni na kusabisha vifo na kuacha watu 27 vilema

baadhi ya mashuhuda wakiangalia ajali hio leo mchana kwenye reli iliyokatisha barabara ya kwenda Yombo Dovya


Basi lililogonga treni baada ya kugonga


Mungu mkubwa huwezi amini km mabaki haya ametoka mtu salama, ila ni kundra ya Mungu

No comments:

Post a Comment