Bi Mariam ambaye ni mtaalam wa graphic designing akionyesha moja ya kazi aliyoifanya hivi karibuni. Hii ni moja ya ofisi ya Video production inayotumiwa na kampuni ya PR PROMOTION kutengeneza kazi za harusi, burning, nakadhalika, Karibu mdau!
Mhariri wa picha za video Bw. Crispin akiwa kazini moja ya kazi zinazofanywa ni kutengeneza kazi za VHS, DVD, VCD, STICKER, VITAMBAA, pia tunaprint Tshirts, Kofia, Kalenda nakadhalika.
No comments:
Post a Comment