header

nmb

nmb

Friday, February 5, 2010

Mtuhumiwa jerri Muro akitoka mahakamani leo mchana!



aaaaah! ngoja nipoze koo, ni kama anasema hivyo leo asubuhi alipofikishwa mbele ya hakimu mkazi mahakama ya Kisutu na kesi yake kusongezwa mbele kwa wiki mbili baada ya kutolewa dhamana.


Kuhusiana na pingu alizo kamatwa nazo na kudai ana miliki kihalali na kuonyesha Risiti ya JWTZ aliyodai kununulia pingu hizo ktk duka la Mzinga linaliuza silaha, JWTZ wamekanusha kutoitambua risiti hio na kudai hawauzi pingu kwa raia.




kundi la wanahabari likiwa nje ya mahakama kuskiliza kesi ya mwandishi mwenzao leo mchana

HATI YA MASHTAKA

No comments:

Post a Comment