header

nmb

nmb

Friday, February 5, 2010

Unapanga pilipili namna hii, Je jicho likiwasha unajikunaje..?


Wananchi wa India kijiji cha Shertha kilichopo Kaskazini Jimbo la Ahmedabad wakiandaa pilipili nyekundu kwa ajili ya kuzipeleka sokoni,watu wengi wa bara la Asia huweka pilipili nyingi kwenye misosi yao, km vp uwezi kula mdau! (Picha na BBC).

No comments:

Post a Comment