Kesho tarehe 6/2/2010 Hayati Robert Nesta Marley "BOB MARLEY" angetimiza miaka 65 toka alipozaliwa 5/2/1945 huko Jamaica.Sehemu nyingi Duniani kumeandaliwa burudani za kuadhimisha Birthday yake kwa kupiga nyimbo zake na wasanii mbalimbali kutumbuiza!
R.I.P BOB MARLEY
&
HAPPY BIRTHDAY FATHER
No comments:
Post a Comment