He Pingping (kushoto) wa China ambaye ni binadamu mfupi zaidi anayeishi duniani akiwa pamoja na Sultan Kosen wa Uturuki katika picha iliyopigwa kwenye hafla Januari 14 mjini Istanbul.
He na urefu wa sentimeta 73 ( futi 2. nchi 5 ), na Kosen, ana urefu wa setimeta 246.5 (futi 8. inchi 1), wanatambuliwa na taasisi ya kuhifadhi kumbukumbu Duniani, Guinness World Records kama ni binadamu mfupi zaidi na mrefu zaidi duniani kwa wakati huu. (picha ya mtandao, Deo Myonga)
No comments:
Post a Comment