header

nmb

nmb

Friday, February 5, 2010

Mtuhumiwa awatoka Askari akiwa chini ya ulinzi..!



Mtuhumiwa wa mauaji ya watoto wake wa2 Bw. Moses Tipana (37) mkazi wa Tuangoma Kigamboni akijificha uso kukwepa kamera za wapiga picha akiwaza kuwatoroka askari na kumvamia mpiga picha na kumsurubu huku akiwa chini ya ulinzi wa askari.


Hapa mtuhumiwa akitoka kwa kasi kumuwahi mpiga picha huku askari wakishangaa..!


No comments:

Post a Comment