Nahodha wa Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza John Terry yupo ktk msala mkubwa baada ya kusaliti mkewe kwa kutembea na mwigizaji na mrembo wa kifaransa Vanessa Perroncel aliyekuwa mke wa rafiki yake mkubwa ambaye pia ni mchezaji mwenzake wa zamani wa Cheseal Wayne Bridge.
John Terry na rafiki yake Wayne Bridge
Licha ya kukubwa na pepo km lililowapitia kina CHUJI na KASEJA wachezaji wa bongo, pia Terry anaweza akaukosa unahodha wa timu yake ya taifa kwa kuonyesha utovu wa nidhamu, japo mkewe Toni bado anamzimia mumewe!
Vanessa na Wayne Bridge
John Terry na mkewe Toni
No comments:
Post a Comment