Kenya ingejivunia sana mchezaji wao kuchezea ligi kubwa duniani lakini panel yenye mamlaka ya kutoa vibali vya kazi Uingereza ilimzuia mchezaji huyo na kumnyima kuchezea Man City, ambapo Inter Milan walijitokeza na kumnyakua mchezaji huyo aliyesaini kuchezea klabu hiyo ya Italia kwa miaka minne.
UK PM Gordon Brown
Jose Mourinho amefurahia kumnunua kiungo huyo ili kuziba pengo la Patrick Vieira ambae nae amekimbilia Ligi kuu ya Uingereza.
Hivyo mpaka sasa hakuna mchezaji kutoka Kenya ambaye anacheza mpira wa kulipwa ktk ligi kuu ya England, kwa East Afrika hivi karibuni ni Savio Nsereko (Uganda) pekee ambaye aliwakirisha ukanda huu kwa kuichezea West Ham kkt mechi 10 za ligi kuu!!!!
Soma zaidi: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-1248122/Please-allow-McDonald-Mariga-join-Manchester-City-Kenya-PM-Ralia-Odinga-phoned-Gordon-Brown-deadline-day.html#ixzz0eYtpxmaE
No comments:
Post a Comment