header

nmb

nmb

Wednesday, February 10, 2010

Nigeria yapata Rais wa ku-kaimu nafasi ya Rais Umaru Yar’Adua

Acting President


Jumanne ya jana Cabinet ya Nigeria imepiga kura na kumteua Makamu wa Rais Goodluck Jonathan kukaimu nafasi ya Urais wa Nigeria baada ya Rais Umaru Yar’Adua kutokuwepo nchini tangu mwezi November mwaka jana alipokwenda Saudi Arabia kwa ajili ya matibabu ya afya yake.



Kaimu Rais kulia alipokutana na Johnnie Carson katikati na baloz wa Marekani Robin R. Sanders kushoto.
Baada ya kukabidhiwa kiti hicho Rais Goodluck alihutubia watu wa Nigeria na kuelezea alivyokutana na viongozi wa juu wa Afrika pamoja na Assistant Secretary of United State Johnnie Carson.

Ktk hotuba yake Kaimu Rais Goodluck alisema:
The circumstances in which I find myself assuming office today as acting President of our country are uncommon, sober and reflective. More than ever therefore, I urge all Nigerians as a people of faith in God, to pray fervently for the full recovery of our dear President and his early return.

The events of the recent past have put to the test, our collective resolve as a democratic nation. I am delighted to note that our nation has demonstrated resilience and unity of purpose. Today affords us time to reconnect with ourselves and overcome any suspicions, hurts and doubts, which had occurred. In all these, there are no winners and no losers, because by the grace of God we have once again succeeded in moving our country forward.

No comments:

Post a Comment