header

nmb

nmb

Wednesday, February 10, 2010

Mnaopenda udongo mmesikia hii


Mfanyabiashara wa udongo unaopendwa na wajawazito (udongo wa pemba), Mirambo Shaban, akitengeneza bidhaa hiyo katika eneo la mchikichini Dar es Salaam .Imedaiwa na Dkt kuwa unaleta Kansa ya kizazi .Peter

No comments:

Post a Comment