header

nmb

nmb

Wednesday, February 3, 2010

Maiti wa ajari ya Basi la Chatco na fuso Tanga

Waokoaji wakisaidia kuokoa watu walio banwa na mabati ya Basi .zaidi ya watu 27 walipoteza maisha na wengine kadhaa kupoteza viungo
Maiti mbili zikiwa zimefunikwa vichwa Baada ya kubondeka vibaya katika ajari iliyohusisha magari mawili yaliyogongana uso kwa uso huko Tanga eneo la Segera

No comments:

Post a Comment