header

nmb

nmb

Tuesday, February 2, 2010

Mwendelezo wa Tukio la Jerry Muro wa TBC..!


Kamanda wa kanda maalum ya DSM S. Kova akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo wakati anawataja watuhumiwa wanaodaiwa kushilikiana na mtangazaji wa TBC Jerry Muro kushiriki ktk tukio la kuomba RUSHWA na kujifanya maofisa kutoka PCCB ambao ni kushoto Bw. Edmunda Kapama na Deogratius Ngassa katikati.

No comments:

Post a Comment