Daktari wa Michael Joseph Jackson Dr. Conrad Murray jana amekana mashtaka ya kuua bila kukusudia alipofikishwa Mahakamani huko Los Angeles.
Daktari huyo alipewa dhamana ya $75,000 na kutoka nje ya mahakama huku wazazi wa Michael Kathryn na Joe pamoja na kaka zake wakifika mahakamani mda mchache baada ya file la kesi kufungwa.
No comments:
Post a Comment