Kundi la Mabondia wa Kick boxer kutoka mikoa tofauti nchini Tanzania watakaopambana ktk ulingo wa DDC Magomeni Kondoa jijini DSM, tarehe 27 February Robo fainali na Fainali kufanyika tarehe 6 ya mwezi Machi
Bondia Frida Machue(20) kushoto akipangua teke lililopigwa na Pendo Njau(20) kulia, mabondia hao pekee wa kike watapambana siku hio.


No comments:
Post a Comment