Katibu wa Taasisi ya waandishi wa habari ya PR Promotion Bw. Hansi Mbwaga akiagana na Ofisa wa Kitengo cha Biashara wa Unit Trust of Tanzania Bw. Mfaume M. Kimario muda mfupi Baada ya mazungumzo.
Bw. Mbwaga alifika ofisini hapo kufuatilia barua ya kuomba ufadhiri wa Mkutano mkubwa wa waandishi wa habari wenye dhumuni la kuwajengea uwezo wanahabari kuripoti habari za Biashara nchini Mkutano huo unatarajia kufanyika Mach 26 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment