Mtanzania ROGERS MTAGWA(26-13-2, 18 KOs) Top-10 contender (kulia) akipokea makonde mazito kutoka kwa champion Yuriorkis GAMBOA (16-0, 14 KOs), mzaliwa wa Guantanamo ktk pambano lao la WBA featherweight ambapo Mtagwa alishindwa kuendelea na kuokolewa na refa Steve Smoger ktk raundi ya 2 ya pambano lao lililofanyika jana January 23.
No comments:
Post a Comment