header

nmb

nmb

Sunday, January 24, 2010

Kaka Mapinduzi alivyouaga Ukapera Azania Front jana..!

Kaimu Mhariri Mkuu wa Gazeti la Majira Bw. John Mapinduzi na mkewe Bi. Sarah Kila wakivishana pete za harusi mara baada ya kufunga ndoa kwenye kanisa la Usharika wa Azania Front Dar es Salaam jana.


Kaimu Mhariri Mkuu wa Gazeti la Majira Bw. John Mapinduzi akipunga mkono kuwasalimia ndugu, jamaa, na marafiki waliofika kwenye kanisa la KKKT Usharika wa Azania Front kushudia ndoa yao na Bi. Sarah Kila iliyofungwa Dar es Salaam jana. Kulia ni Mpambe wake Bw. Robert Rashid.

No comments:

Post a Comment