Mwenyekiti wa chama cha UDP Mchungaji C. Mtikila akiwa sambamba na mtuhumiwa mwezake wa Mauwaji Dogo Rama Mlavichwa vya watoto. Mchungaji anatuhumiwa kutoa Rugha ya Matusi dhidi ya Kiongozi wa nchi, wote wawili walinyimwa Dhamana na wameludishwa Lumande. Mtikila alidai atamuombea Mtoto huyo ili kama kweli ni Mchawi aokoke.
Dogo rama Akiwa na mama yake katika Mahakama leo asubui ambapo alibahatika kukutana na Mchungaji Mtikila
No comments:
Post a Comment