header

nmb

nmb

Friday, January 29, 2010

TUTUNZE MAZINGIRA YATUTUNZE



Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Batilda Burian akiongea na waandishi wa habari mjini Dodoma leo asubui, kuhusu maadhimisho ya Siku ya Ardhi Duniani itakayoadhimishwa wiki ijayo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi waHifadhi Bioanwai Bw. Nkondoluya

No comments:

Post a Comment