header

nmb

nmb

Friday, January 29, 2010

Kenya waweza Kilimo Kwanza!!


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia uandaaji wa huduma mbalimbali za mauwa wakati walipotembelea katika kiwanda cha mapambo mjini Nairobi jana.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia huduma za utafiti wa mazao kwa kutumia teknolojia ya kisasa walipotembelea katika kituo cha utafiti wa Kilimo Gigiri Nairobi Kenya jana.

No comments:

Post a Comment