header

nmb

nmb

Friday, January 29, 2010

Michael Jackson aenziwa mpaka kwenye style za nywele!

Mnyamwezi akionyesha jinsi alivyo muenzi Mfalme wa Pop Duniani Marehemu Michael Jakson. Kwa sasa wapenzi wa Jakson wanatumia Elfu hamsini kupata mnyoo huo

1 comment:

  1. Kweli Michael Jaksoni alipendwa , naona mashabiki wanamuezi kwa njia mbalimbali , nitaupata wapi mnyoo huo

    ReplyDelete