Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Mh. Dr. AishaKigoda akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa tamko la sikuya ukoma duniani.Kilele cha siku ya ukoma itaadhimishwa wilayaniKilombero-Morogoro tarehe 31 januari,2010.
Waandishi wa habari za Bunge wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afyana Ustawi wa Jamii, Mh.Dr. Aisha Kigoda wakati akitoa tamko la siku yaukoma duniani,mjini dodoma.
(CatherineSungura)
No comments:
Post a Comment