header

nmb

nmb

Tuesday, July 26, 2011

Loveness Flaviana ashinda Vodacom miss kanda ya Mashariki


Loveness aliibuka kidedea baada ya kuwashinda wenzake 11 kwa kujibu maswali yaliyoulizwa.

Loveness alizawadiwa sh.500,000, wakati nafasi ya pili ilichukuliwa na Asha Saleh na kuzawadiwa sh.300,000, nafasi ya tatu ilienda kwa Mariaclara Mathew ambaye aliondoka na sh. 250,000.
Tuzo ya balozi wa Usambara ilienda kwa Thureya Dabas ambaye alipata sh. 200,000, Miss Talent alikuwa Loveness Flaviana na mrembo bora alikuwa Rahma Swai ambao walipewa sh.50,000 kila mmoja.

No comments:

Post a Comment