header

nmb

nmb

Wednesday, September 28, 2011

KUTANA NA KIBIBI JAPHARY NA DAWA YA ZAO LA UBUYU INAYOTIBU MAGONJWA SUGU

managing Director of K'best General supply, Kibibi Japhary
They Specialized in Baobab tree. wameonesha maajabu ya uguyu yanavyoweza kutibu magonjwa mengi kwa wakati mmoja.

Kibibi Japhary anabainisha product mbili tu zinazotengenezwa na K'best General suply ambazo ni Baobab Oil na Baobab Powder(unga na mafuta ya ubuyu) zaidi ya magonjwa 20 huponywa na products hizotu.

anasema kuwa imeshaonesha maajabu katika magonjwa kama Figo na Ini, husaidia kutengeneza sukari iwe katika kiwango kinachotakiwa, pia inatoa coresto ndani ya mishipa ya damu, kuimarisha kucha na nywele pia ni tiba ya mifupa.

hayo ni magonjwa ambayo hutibiwa na mafuta ya ubuyu tu ambapo pia ni mafuta mazuri sana kwa watu wenye ulemavu wa ngozi(albino), yanasaidia kuongeza CD4 mwilini. kwa vijana walioathirika na madawa ya kulevya pia huwasaida kuondokana na arosto hivyo kuacha kabisa. hutibu kabisa vidonda vya tumbo ndani ya siku 15. yanaondoa chunusi, fangasi na upele pia mba na magonjwa mengi sana.
"Ukiangalia upande wa unga wa ubuyu na vitamin C nyingi sana vya kutosha hivo husaidia kuongeza kumbukumbu kwa kiwango kikubwa sana, bila kusahau CD4 na pia ni Lishe nzuri sana kwa watoto". alisema Kibibi Japhary


"Zao hili la ubuyu limekuwa Tiba kwa watu wengi na husaidia kweli kama utatumia kama inavotakiwa ila angalizo wapo watu wanaotengeneza mafuta haya kwa kuchanganya na Alizeti hivo hushindwa kusaidia kitu. Kama kweli unataka kuondokana na Magonjwa mbalimbali hakikisha unanunua products hizi kwa mtu unaemjua na unauhakika nae kama sivyo utapata yaliyochakachuliwa" alimazia Kibibi

No comments:

Post a Comment