header

nmb

nmb

Tuesday, September 27, 2011

MASHINDANO YA NYAMA CHOMA, KONYAGI YATIKISA VIWANJA VYA POSTA

Mkurugenzi Mkuu wa TDL Bwana David Mgwasa akiwa na Wadau wa kampuni hiyo akiwaelekeza wine za Dodoma wine, Image wine na vinywaji vingine katika mashindano ya nyama choma.
wadau wakipata nyama choma wakishushia na imagi wine kwa pembeni

Mambo yalinoga saana, dodoma wine ilinunuliwa kama karanga vile, chupa moja ilikuwa ikienda kwa shilingi 10,000.

No comments:

Post a Comment