
Familia yake mkewe na watoto wakiuga mwili w marehemu kwa uchungu mkubwa

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dr Emanuel Nchimbi Akiuaga mwili wa marehemu
Picha kwa hisani ya www.globalpublishers.info

Mkurugenzi wa masoko na Utafiti wa benki ya CRDB, Tulli Mwambapa akitoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu Danny Mwakiteleko wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu nyumbani kwake Tabata Dar es Salaam jana, ambapo benki hiyo ilitoa ubani wa shilingi milioni moja.
No comments:
Post a Comment