header

nmb

nmb

Tuesday, August 17, 2010

WAKAZI WA MWANZA BADO WAWEKA GUMZO JUU YA KINYWAJI CHA BISMARK ROCKS!!

Maofisa wa Kampuni ya TDL (KONYAGI) Bw. Charls Fumbo (kulia) na N. Ngailo wakipiga picha katika moja ya bango lililosherehesha ukumbi wa Aspen jijini Mwanza wakati wa Uzinduzi wa kinywaji hicho mwishoni mwa wiki. Wakazi wa Mwanza wameonyesha kukipenda kinywaji hicho kwakuwa hadi sasa wametuma maoni yao ktk Blogo ya Prhabari kuwa wamejisikia wenye raha kupata kinywaji hicho .

No comments:

Post a Comment