header

nmb

nmb

Tuesday, August 17, 2010

MBWA MWANGA AZUA KIZAAZAA NYUMBANI KWA MKAZI WA KARAKATA DSM. AN'GANG'ANIA MRANGONI KWA MASAA MATATU!!

AKITOA MACHO
Mbwa akiwa amenyongwa mlangoni baada ya kuzua tafrani katika nyumba ya Bi.Rabeka Mgambwa na kuwazuia kuingia na kutoka takribani masaa tatu katika maeneo ya karakata bondeni Dar es Salaam.Hata hivyo alipigwa mawe na kuchomwa na nondo haikusaidia kitu hadi walipo muwekea kitanzi kitu ambacho mbwa huyo alitoa ushirikiano wa kukivaa na kisha kumnyongo ndiupo ikawa kifo chake(Pix ya Ploma Mumwi)

Akitobolewa na ndondo iliaondoke mlangoni
Akitoa Ushirikiano wa kunyonyongwa kwa kukiangalia kitanziAkijivisha kitanzi huku akilia machozi ya Uchungu na kushangaza umati

Akinyongwa na Wakazi wa eneo hilo ambao walisimama kwa ndani ya Mama mwenye nyumba
Hatimaye alikufa pembeni ni mawe yaliyo tumika kumpiga hayakufuadafu

No comments:

Post a Comment