header

nmb

nmb

Friday, August 13, 2010

Rais Dkt Jakaya Kikwete Leo Afungua Mkutano Mkuu wa Tanganyika Law Society mjini Dodoma!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tanganyika Law Society katika ukumbi wa Chimwaga uliopo Chuo Kikuu cha Dodoma leo asubuhi.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa Tanganyika Law society(TLS) wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa TLS uliofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma leo asubuhi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria Mkutano mkuu wa Tanganyika Law society mjini Dodoma leo.By. Ikuru

No comments:

Post a Comment