Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Eric Shitindi(katikati) akifafanua kuwa Vyama vya Wafanyakazi kujihusisha na masuala ya siasa ni kukiuka miiko ya Katiba zao.
Shitindi alitoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam wakati akijibu kauli ya Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi(TUCTA) aliyoitoa hivi karibuni kuwa itakapofika wakati TUCTA itatoa tamko kwa wafanyakazi ni kiongozi gani atafaa .
Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Sera , Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mathias Kabunduguru(kulia) na Afisa Habari Mkuu Zawaradi Kawawa(kulia)
(Pix Ndau Tiganya Vincent wa MAELEZO)
No comments:
Post a Comment