Mchungaji mtikila kunyea debe miezi sita ni baada ya kushindwa kulipa deni.
Mgombea Urais kwa tiketi ya DP, Mchungaji Christopher Mtikila akiwa kwenye gari la polisi kusindikizwa gerezani kutumikia kifungo cha miezi sita baada ya kushindwa kulipa deni la shilingi milioni tisa.
No comments:
Post a Comment