header

nmb

nmb

Tuesday, August 3, 2010

SHINDANO LA KONYAGI MEJA GOLF ILIYOFANYIKA KATIKA UWANJA WA TPDF DAR ES SALAAM!!

Meneja mkuu wa kampuni ya TDL, David Mgwasa (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja Baada ya Kumkabidhi Kikombe Mshindi wa kwanza Nasari Baraka katika mashindano hayo.
GROSS WINNER
Winner -5-153-Nasari Baraka
Runners up -4-160-Yusuph Abdalah
2nd Runners up-9-163-Ally Abdalah
NETT WINNERS
MEN
Winner-13-144-Dendego Hassan
Runners up-18-146-Manatsa S.
SENIOURS
Winner-CB-14-149-Muthungu D.
Runners up-CB-14-149-Tambwe Saleh
LADIES
Winner-6-155-Magombe A.
Runners up-24-163- Mwaulambo V.
LONGEST DRIVE
Ladies-Magombe A.
Men-Yusuphu Abdallah
NEAREST THE PIN
Mwakawago k.
PIGA MINGI-18-208-Laizer Saitoti.





Washindi wakipongezana



Meneja wa Bidhaa TDL, Matha Mbangu akikabidhi zawadi

Meja akikabidhi zawadi

Mitungu ya Kisasa ya Konyagi ambayo ilisababisha wanamichezo wa mchezo huo kuwa na Furaha sana kwakuwa kila mmoja alikuwa akijisevia mwenyewe, wadau wameomba mituni hii isambazwe baa zote nchini!!

Kimwana wa TDL na wenzake Wakifuatilia kwa makini



Staff wa TDL wakiwa katika Viwanja vya TPDF wakisubiri Matokeo
Wadau

No comments:

Post a Comment