Matukio mbalimbali ya eneo la Kanisa la Anglikana Jimbo la Masasi ambalo mwezi huu wa nane ( AUGUST 2010) limetimiza miaka mia moja na kufanya Jubilei tangu lilipoasisiwa na Wamisionari kutoka Uiengereza. Kanisa hili limejengwa kwa mawe na kuwekewa mapambo mbalimbali ya asili. Pia kanisa hutoa huduma za kiroho na kijamii katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Picha zote na Mwanakombo Jumaa-Maelezo. Picha ya chini ni mwonekano wa ndani dongo la zamani
No comments:
Post a Comment