Mohammed Dewji akichukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Singida mjini kupitia (CCM) kutoka kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi Jimbo la Singida Mjini Bw.Anthony Bulala, Dewji anatarajiwa kutetea jimbo hilo baada ya kumaliza kipindi chake cha miaka mitano akiwa mbunge wa jimbo hilo.
Mohammed Dewji akionesha wanachama wa CCM fomu pamoja na kanuni za uchaguzi mkuu mara baada ya kuchukua fomu hizo kwa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo wengine ni wanaccm wilaya ya Singida Mjini wakimshangilia mgombea wao.
Mohammed Dewji akiwa ameongozana na wana CCM wakati alipokuwa akielekea kuchukua fomu zake za kugombea ubunge kwa msimamizi wa uchaguzi wa katika Jimbo la Singida Mjini .Zaidi tembelea Mohamedi blog
No comments:
Post a Comment