header

nmb

nmb

Thursday, July 22, 2010

SIKU USAFI UNAFANYIKA KTK HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI MAMBO HUWA HIVI!!


Baadhi ya wagonjwa katika hospitali ya Muhimbili wakiwa nje ya wodi kupisha usafi uendelee. Hali hi hufanyika mala kwa mala kudumisha usafi hospitalin hapo. Pix kwa hisani ya Dar leo

No comments:

Post a Comment