header

nmb

nmb

Thursday, July 22, 2010

KAMANDA MPINGA JE UMEONA BODABODA HIYO!!


Bw.Hamad Rashidi akiwa na watoto wake kwenye Pikipiki ambao aliwapandisha kinyume cha sheria za usalama Barabarani eneo la kigamboni DSM Tanzania. Bw. Hemend alikataa kumweleza mwandishi wa blog hiio kama ana lesaeni au la.Pix zuberi mussa.

No comments:

Post a Comment