MTOTO WA MJINI KIZIMBANI TENA KWA UDANGANYIFU
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha Mpinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, akipelekwa kwa hakimu kwa ajili ya kutajiwa tarehe ya kusikilizwa tena kesi inayomkabili ya kujipatia fedha kwa udanganyifu katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Dar es Salaam leo asubuhi.By Dande
No comments:
Post a Comment