TUKACHOME MBUZI....
Wafanyabiashara wa nyama ya mbuzi wakimtayarisha kwa ajili ya kuwauzia wateja katika mji wa Kongwa, Dodoma kama walivyokutwa na mpigapicha. Katikati ni Mhariri wa gazeti la Habari Leo, Bw. Joseph Kulangwa akishuhudia matayarisho hayo yanavyofanyika. By Nyakasaga
No comments:
Post a Comment