header

nmb

nmb

Thursday, January 21, 2010

Aliyekuwa mfanyakazi wa Mwl. Nyerere aulalamikia ufisadi unaofanywa sasa!



Aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu enzi za mwalimu Bi.Yosefa Nyoni akilalamika kuhusu ufisadi aliodai umejaa nchini kinyume na enzi zao walipokuwa Ikulu ya kuwa wangetaka kuwa Mafisadi hadi sasa wangekuwa mamilionea kwa sasa. Pamoja na kufanya kazi Ikulu Bi.huyo amedai mpaka sasa yuko hali jojo.Kama alivyonasa na kamera yetu mtaa wa Azikiwe Dar.

Baadhi ya wakazi wa jiji akiwemo Mwandishi wa habari SAID MWISHEHE wakimsikiliza Bi Yosefa Nyoni alipokuwa akipinga Ufisadi.

No comments:

Post a Comment