Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh. Prof David Mwakyusa,akisikiliza jambo kwa makini wakati wa kupokea vifaa vya dharura na upasuaji kwa ajili za wilaya katika kanda nane nchini toka shirika la afya duniani,pembeni ni mwakilishi toka shirika hilo Dr. Martins Ovberedjo,makabidhiano hayo yalifanyika wizara ya afya na ustawi wa jamii makao makuuWaziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh.David Mwakyusa akipokea vifaa vya dharura na upasuaji vyenye thamani ya shilingi milioni 153 kutoka Shirika la Afya Duniani, anayemkadhi vifaa hivyo ni mwakilishi wa shirika hilo nchini Dr. Martins Ovberedjo.


No comments:
Post a Comment